Monday, July 30, 2012
Mtaalamu kutoka PUM atembelea ZIToD
Mkurugenzi wa chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bi Zuleikha .K.Khamis pamoja na walimu wa chuo wakimsikiliza mtaalamu kutoka shirika la Misaada la PUM kutoka UHOLANZI alipofika chuoni kubadilishana mawazo na wakufunzi wa chuo.
Saturday, July 21, 2012
Wanafunzi wa Fuoni Msingi watembelea ZIToD
Wanafunzi kutoka skuli ya Fuoni Msingi wakifanya usafi katika maeneo ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi ikiwa ni moja ya ziara za kamati ya mazingira ya skuli hiyo
Wanafunzi wa Fuoni Primary School wakifanya usafi ZIToD
Baada ya kazi za usafi wanafunzi wa Fuoni Msingi wakipata viburudishaji vilivyoandaliwa kwa ajili yao na uongozi wa chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi
Walimu waliongozana na msafara wa wanafunzi wa skuli ya msingi ya Fuoni wakipata viburudishaji.

MITIHANI YA MWISHO WA MWAKA ZIToD
Wanafunzi wa ngazi ya Diploma wa kozi za ICT and Accounting pamoja na diploma ya uongozi katika sekta ya utalii(DHTM) wakifanya mitihani yao ya kumaliza mwaka wa masomo 2011/2012
Wanafunzi wa ICT and Account ngazi ya Diploma (NTA 6) wakifanya mitihani chuoni Maruhubi.

ZIToD WAANZA MITIHANI YAO YA MWISHO
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo ya Utalii na ICT kwa ngazi ya cheti ( NTA 5) wakifanya mitihani yao ya mwisho ambayo iliaza rasmi tarehe 16/07/2012.
Wanafunzi wa kozi za FRONT OFFICE,FOOD BRODUCTION na ICT wakifanya mitihani yao katika ukumbi wa RESTAURANT
Wanafunzi wa NTA 5 wakifanya mitihani yao ya kumalizia mwaka.
Kazi ikiendelea ya kujipima uwezo kwa wanafunzi wa ngazi ya cheti NTA 5

Friday, July 13, 2012
Walimu wa chuo cha Maendeleo ya Utalii wakiwa pamoja na mkurugenzi wao Bi Zuleikha K.Khamis wakati wa ufunguzi wa jengo jipya la ofisi na Maktaba ya chuo.
Jengo litakalotumika kama ofisi na maktaba ya chuo cha Maendeleo ya Utalii likionekana kwa mbele.
Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii wakiwa katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi wa jengo la ofisi na Maktaba ya chuo
Kikundi cha sanaa ya ngoma asili kikitoa burudani kwa waliohudhuria hafla hiyo
Mheshimiwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akienda kuweka jiwe la msingi wa jengo la afisi na Maktaba ya chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar
Mheshimiwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifungua kitambaa kuashiria uwekaji rasmi wa jiwe la msingi wa jengo la afisi na Maktaba ya chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Mheshimiwa Mwenyekiti wa bodi ya chuo Mh Khamis Mussa akizungumza katika hafla ya kuweka jiwe la msingi wa jengo la afisi na Maktaba ya chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Mheshimiwa waziri waq habari utalii utamaduni na michezo Mh Said A Mbarouk akizungumza katika hafla ya kuweka jiwe la msingi wa jengo la afisi na Maktaba ya chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Mheshimiwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiongea na walimu wafanyakazi wanafunzi na walikwa waliohudhuria hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo la afisi na Maktaba ya chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar.

Tuesday, July 10, 2012
UWEKAJI JIWE LA MSINGI WA OFISI NA MAKTABA YA CHUO CHA MAENDELEO YA UTALII ZANZIBAR
Mh Makamo wa pili wa rais wa Zanzibar .Balozi Seif Ali Iddi leo alijumuika na uongozi wote wa wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo pamoja na wafanyakazi na wanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa Jengo jipya la chuo litakalotumika kwa matumizi ya ofisi na Maktaba.
Picha na habari zaidi zitapataikana hapo baadae.

Saturday, July 7, 2012
MAZOEZI YA UZIMAJI MOTO KWA WANAFUNZI WA ZIToD
Wanafunzi wa chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi Zanzibar wakipata mafunzo ya kukabiliana na janga la Moto kutoka kwa wataalamu wa kikosi cha uzimaji moto Zanzibar.Mafunzo hayo ya siku tano ya nadharia na vitendo yalifanyika chuoni Maruhubi.
Tuesday, July 3, 2012
MATUKIO MBALI MBALI ZIToD
Wanafunzi kutokaSouth Africa wakiwa pamoja na walimu wao wakipata mlo wa kienyeji wa kizanzibar(Pilau ) ambayo waliianda wao katika mafunzo yao ya kujifunza mapishi ya Kizanzibar yaliyofanyika chuoni Maruhubi.
Mkurugenzi wa Chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bi Zulekha K.Khamis akitoa nasaha zake kwa wanafunzi pamoja na viongozi wa serekali ya wanafunzi iliyochaguliwa chuoni.
Rais wa Serekali ya wanafunzi ya chuo cha Maendeleo ya Utalii (ZIToDSO) Bw Bakar Kheri(alievaa suti na tai) akiwa na wapambe wake wakati akiingia ukumbini kwa ajili ya kula kiapo cha kuwa Rais wa ZIToDSO.
Mmoja wa wanafunzi kutioka South Afrika alieshiriki mafunzo ya siku mbili juu ya utayarishaji wa vyakula vya Kizanzibar akipokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi wa Chuocha Maendeleo ya Utalii Zanzibar,Bi Zuleikha K.Khamis

Subscribe to:
Posts (Atom)