Wednesday, June 27, 2012

CHUO CHA MAENDELEO YA UTALII (ZIToD)  KIMEFUNGUA BLOG YAKE MPYA AMBAYO MBALI NA KUTUMIA WEBSITE YAKE YA WWW.ZITOD.ORG ITAKUWA PIA INATUMIA BLOG HII KWA AJILI YA KUTOA TAARIFA NA MATUKIO MBALI MBALI YATAKAYOKUWA YANATOKEA CHUONI.
WATAKAOANGALIA BLOG HII WATAKUWA NA UWEZO WA KUTOA MAONI  YAO JUU YA KILE AMBACHO TUTAKUWA TUMEKIWEKA
AHSANTENI SANA.

1 comment:


  1. nahisi bado website ya zitod ipo local zaidi kwa iyo namuomba administator wa apo aishushe hiyo na kuifanyia modification ili iwe website ya kisasa

    ReplyDelete