ZANZIBAR INSTITUTE OF TOURISM DEVELOPMENT(ZIToD)
Sunday, August 26, 2012
NTA 4 WAANZA MITIHANI
Wanafunzi wa masomo ya awali ya fani mbali mbali za utalii (Basic Certificate-NTA 4) .Leo wameenza rasmi mitihani yao ya kumaliza masomo leo.Habari zaidi na picha zitafuata hapo baadae
Monday, July 30, 2012
Mtaalamu kutoka PUM atembelea ZIToD
Mkurugenzi wa chuo cha Maendeleo ya Utalii Zanzibar Bi Zuleikha .K.Khamis pamoja na walimu wa chuo wakimsikiliza mtaalamu kutoka shirika la Misaada la PUM kutoka UHOLANZI alipofika chuoni kubadilishana mawazo na wakufunzi wa chuo.
Saturday, July 21, 2012
Wanafunzi wa Fuoni Msingi watembelea ZIToD
Wanafunzi kutoka skuli ya Fuoni Msingi wakifanya usafi katika maeneo ya Chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi ikiwa ni moja ya ziara za kamati ya mazingira ya skuli hiyo
Wanafunzi wa Fuoni Primary School wakifanya usafi ZIToD
Baada ya kazi za usafi wanafunzi wa Fuoni Msingi wakipata viburudishaji vilivyoandaliwa kwa ajili yao na uongozi wa chuo cha Maendeleo ya Utalii Maruhubi
Walimu waliongozana na msafara wa wanafunzi wa skuli ya msingi ya Fuoni wakipata viburudishaji.

MITIHANI YA MWISHO WA MWAKA ZIToD
Wanafunzi wa ngazi ya Diploma wa kozi za ICT and Accounting pamoja na diploma ya uongozi katika sekta ya utalii(DHTM) wakifanya mitihani yao ya kumaliza mwaka wa masomo 2011/2012
Wanafunzi wa ICT and Account ngazi ya Diploma (NTA 6) wakifanya mitihani chuoni Maruhubi.
Wanafunzi wa ICT and Account ngazi ya Diploma (NTA 6) wakifanya mitihani chuoni Maruhubi.
Subscribe to:
Posts (Atom)